Mafuta ya Alizeti

Mwakasimba

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
10
Reaction score
2
habar ndugu zangu watanzania, mimi ni mjasiliamali mdogo nimemaliza chuo ud nimeona nijiajiri kupitia biashara ya mafuta ya alizeti, kikubwa naomba mniunge mkono lita tano (5) ni Tshs. 18000 tu! unaweza kuagiza kwa tenda na kama upo dar nitakuletea hapo ulipo, nashukuru kwa ushirikiano japo kwa kusoma tu, Mungu akubariki sana. kwa mawasiliano 0653 466572, Asante
 

Bei yako iko juu sana wengi wanauza maximum elfu 16 kwa lita tano.Check prices of your competitors
 
Bei yako iko juu sana wengi wanauza maximum elfu 16 kwa lita tano.Check prices of your competitors
Wapi yanapatikana kwa bei ya 16? Ila angalia hio 18 anakuletea hapo ulipo Dar, nadhani bado yupo nafuu Zaidi ukilinganisha na akina Muzar mill oil - same package hadi 21
 
ni kweli ndugu inaweza ikawa juu lakin inategemea huyo anayekuuzia 16000/= anayapata wapi na mzunguko wake upoje ila nashukuru nitajaribu niwezavyo lengo biashara isonge mbele, asante
 
wana jamii ukweli ni kwamba yapo mafuta mengi na bei zinatofautiana na sikatai kwamba yapo ya bei ya chini kabisa hata zaidi ya hapo, lakini katika kila biashara kuna ujanja wake sasa sijui hao wenzangu wanayatoa wapi na gharama zake zikawa hivyo pia quality yake sijui ipoje, maoni yenu ni mazuri napata changamoto ingawa sidhani kama 18 ni bei kubwa sana tena nakuletea ulipo, tuungane mkono watanzania pia turekebishane pale tunapokosea. asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…