mafuta ya kitunguu swaumu ni dawa

Totoz

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
99
Reaction score
18
habari wapendwa leo katika pilika pilika zangu za kutafuta dawa za kupunguza unene na uzito nimegundua mafuta ya kiunguu swaumu nayo yana saidia una weka kijiko kimoja cha chai katika maji ya moto unayo kunywa asubuhi.
 
sijafahau utengenezaji wake ila yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili.
 
Ukiwa unatumia hayo unakuwa unafanya na yale mengine kama sijui diet au gym? Au ukiwa na hiyo dose huna haja ya mazoezi wala kujibana msosi?
 
Ukiwa unatumia hayo unakuwa unafanya na yale mengine kama sijui diet au gym? Au ukiwa na hiyo dose huna haja ya mazoezi wala kujibana msosi?

ni vizuri pia ukaendelea na diet pamoja na mazoezi kama mvivu we piga diet yako kwani inasaidia kujausha mafuta.
 
waweza tumia vitunguu swaumu vyenyewe pia..

kama ukitumia vitunguu swahumu basi unatakiwa uvitwange mpaka viwe majimaji ndo utumie. Hapao otakuwa unatumia muda mwingi kwani mafuta yake yanakuwa rahisi sana na bei sio kubwa ni kuanzia elfu 1500 na utatumia vijiko viwili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…