Mafuta ya kujichua kwa wanawake

Mafuta ya kujichua kwa wanawake

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Nina mpenz wangu anapenda sana lotion, cream za kujichubua mfano calorite, carrotone nk ....mm hii tabia inanikera sana, nahitaji kufahamu ni zipi nzuri ambazo anaweza kupaka na isimchubue ngozi Bali awe na rangi yake ya asili.
 
Hili Tatizo ni la wanawake wengi sana, mie wangu nimempiga marufuku na sitaki kuona anabadilisha ngozi yake

Nimemwambia atumie lotion za kawaida kama Nivea,vaseline,cocoa butter na nyingine ambazo ni brand at least

Uzuri wake wangu amekubari na anatumia sasa
 
Ni vyema ukaanzia kwa wataalamu wa ngozi ili kujua kiasi cha madhara alokwisha yapata kisha atapewa mwongozo wa nini cha kufanya na huko ndo atashauriwa mafuta gani mazuri ya kupaka kulingana na ngozi yake. Maana kama ataacha kupaka hayo mafuta makali bila mwongozo wala ushauri mzuri kuna uwezekano wa ngozi ya uso kuharibika na kuwa mbaya zaidi hali ambayo itamfanya kupoteza kujiamini na mwisho wa siku atashawishika kurudia maisha yake ya kujichubua.
 
Hili Tatizo ni la wanawake wengi sana, mie wangu nimempiga marufuku na sitaki kuona anabadilisha ngozi yake

Nimemwambia atumie lotion za kawaida kama Nivea,vaseline,cocoa butter na nyingine ambazo ni brand at least

Uzuri wake wangu amekubari na anatumia sasa
Ngoja nichote hapa mkuu
 
Fair & white lotion kopo refu la rangi ya Gold hii haichubui Mkuu...ila kwa uhakika zaidi nunua SH Amon...anabaki na ngozi yake anakua soft tu.
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom