Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Amekubali mkuu tatizo hajui ni yepi yatakayomfaa zaidiAmekubali kuacha kujichubua?
Sio mda mrefu, kwa maelezo yakeAmekuwa akijichubua kwa muda gani?
Yanaitwaje, japo laki 2 parefuMnunulie ya gharama kuanzia laki2 ndo hayabadilishi ngoz yana moisturize tu
Unamaanisha nn mkuuhivi hii ID marehemu alimrithisha mwanae nini?
Ngoja nichote hapa mkuuHili Tatizo ni la wanawake wengi sana, mie wangu nimempiga marufuku na sitaki kuona anabadilisha ngozi yake
Nimemwambia atumie lotion za kawaida kama Nivea,vaseline,cocoa butter na nyingine ambazo ni brand at least
Uzuri wake wangu amekubari na anatumia sasa
Sawa mkuuNenda duka la vipodozi uliza lotion ambayo ndani yake haina cream.
Ngoja nichote hapa mkuu
Akienda atambue ngozi yake ni aina gani, ya mafuta au kavu.Sawa mkuu
Asante sana mkuuFair & white lotion kopo refu la rangi ya Gold hii haichubui Mkuu...ila kwa uhakika zaidi nunua SH Amon...anabaki na ngozi yake anakua soft tu.
Ndo yapi hayo..Nataka nikununulieMnunulie ya gharama kuanzia laki2 ndo hayabadilishi ngoz yana moisturize tu