Mafuta ya kujipaka mazuri ya usoni yanayotoa weusi wa chunusi

Mesorphine

Member
Joined
Oct 11, 2020
Posts
56
Reaction score
36
Hello wanajamii forum, mimi ni kijana wa kiume kweny 20s age, Nina changamoto ya kupata chunusi baada ya kupunguza masharubu wakat mwingne yanakua magumu na kufanya upande mmoja wa shavu kuwa mweusi na madoa mengi wakt upande mwingne n mweupe kawaida.

Nilikua naomba mwenye kufahamu mafuta yanayoweza nitoa huu weusi kwanza pamoja na izi dark spot usoni huenda nikapunguza haya madhara baada ya kunyoa.

Njia nilizotumia Hadi Sasa
1. Kutumia After shave baada ya kunyoa
2. Kubadili mafuta kutoka Rinju Hadi 3 days
3. Kununua machine ya kujinyolea mwenywe (CHY- 6558 ila kwa Sasa natumia Vintage T9)

Ahsanten
 
Dawa ya kutotoka vipele ni usinyoe ndevu mara kwa mara au kama nikunyoa hakikisha unanyoa mara kwa mara kama kuruti, ila kuhusu mafuta sina ushauri mi natumia mafuta ya mgando na ya nazi tangu nizaliwe ila hayo madoa nayaona kwa majirani tu.
Ukinyoa hakikisha unakaa muda mrefu ndo unyoe tena mpaka hizo chunusi ziishie ndani ya ndevu, ila kama ni wakunyoa daily usiruhusu ndevu ziote, zikichomoza nyoa.
 
Thanks kwa ushauri..
Changamoto ni kuwa sharubu zinatokea kias Yan zipo kama nzi....hazijajaza mashavu hivyo zimeota mbalimbali kwaio ukinicheki naonekan kama nina rangi mbili usoni

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…