Bei yake ikojetumia black castrol oil ukipata yale ya jamaica ni mazuri zaidi
Inategemea na utaponunua na ujazo utaonunua kuanzia 10k nafikiriBei yake ikoje
UnafelI WAP baharia nunua superblack paka then nunua mafuta ya Nazi nywele inakuwa tamu broSPINEsuper post: 35840171 said:Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku .
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali. Nywele hazina uweusi mzuri, napata shida kidogo kwenye suala zima la utanashati .
Kwa sasa natumia mafuta ya nywele aina ya MOVIT.
Naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kwa aina ya mafuta au dawa ya nywele nitashukuru ili nifurahie utanashati.
Itabidi niyatafute maana mimi tatizo landu ni kwamba nywele zangu hazina ushirikiano zikiota tu zinazidiana niyinge ndefu nyingne fupi, hazina afya zina rangi ya vumbi ukichana dakika 0 zimejikunja kama sijachana hadi uwa nanyoa kila baada ya week mbiliCastor oil naitumia, aisee ni nzuri sana.
Mimi ilikua nywele zikikua kidogo zinakua na wekundu flani kwa mbali. Ila baada ya kuanza kutumia castor oil kwa sasa kuweka black ni kwa kupenda tu.
Huwa nayachukua kwa bi dada mmoja hapa dar, tembelea page yake insta inaitwa naturals_pride.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app