Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

Mafuta bei juu hii ni hatari sana kwa wauza chips tutalishwa sumu
 
Mafuta ya transfoma ni bora kwa afya & yana dumu zaidi
 
Hayo mafuta ya kula yenyewe tu yanatengeneza sumu kwa kutumika kwenye moto muda mrefu kukaangia hizo chips.

 
Viazi bei gani??

Hapa nnapoish hiyo lita 10 ni 62,000 TZS kutoka 52,000 TZS. Hiyo 75,000 upo mkoa gani mkuu.??
Duhhh....โ˜น๏ธ
Naona tunazidi kupoteza nguvu ya taifa....๐Ÿ˜†
 
Aina gani, na brand gani ndio issue, je ni korie type, Alizeti?, brand gani ya Alizeti?
Brand ya alizeti mkuu, yasiyo ya alizeti ni 58,000 TZS mpaka 62,000 TZS kutokana na duka utaloenda mwanzo ilikua 50,000 TZS.
 
Jana nilikuwa mlimani mafuta ya alizeti lita kumi nimeona 98000
Inawezekana kutokana na maeneo na brand husika mkuu.
Ila kiukweli mafuta yako juu mno, unga wa ngano pia umepaa.
Kuna baadhi ya maeneo nauli pia zimeongezeka mpaka mara 2 ya nauli ya awali.
 
Viazi na mayai vikipanda bei hupelekea bei ya chips kuongezeka kwasababu hz ndo malighafi muhimu kwenye mapish ya chips..
 
Waendelee kutupikia hizo chips..mengiene yatajulikana mbele kwa mbele๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mafuta ni ishu ndogo sana kwenye biashara ya vyepe, tatizo lingetokezea endapo bei ya viazi na mkaa au gesi ingepanda mara dufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ