Principle girl JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,311 Reaction score 1,297 May 17, 2017 #1 Eti wapendwa miiki ndo mafuta gani na yanafaa kutumiwa na ngozi aina gani?mkiniwekea na picha itakua poa zaidi
Eti wapendwa miiki ndo mafuta gani na yanafaa kutumiwa na ngozi aina gani?mkiniwekea na picha itakua poa zaidi
babalao 2 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 5,423 Reaction score 3,297 May 17, 2017 #2 Ni mafuta ya mizeituni
Principle girl JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,311 Reaction score 1,297 May 23, 2017 Thread starter #3 Yanapatikana wapi?