Hapa aweke sawa swali lake ili nimpe majibu.
Kwa nyumbani mise "imise" ni mbegu za mchikichiki, sasa hapa anamaanisha matunda ya mchikichi au mibegu zake?
Mise ni kile kiini cha ndani cha chikichi kinachofanana na nazi. Kikikamuliwa hutoa mafuta safi ya kula. Kwahiyo, chikichi ina mafuta ya aina mbili yale yanayotokana na ganda la nje yaani mawese na yale ya kiini.