Mafuta ya Nywele...

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Naombeni kuuliza kama wale wanaotengeneza mafuta ya nywele kama walilenga nywele za kichwani tu au kama kutakuwa na madhara yoyote ni kipaka mafuta ya ywele kwenye nywele nyingine ambazo sio za kichwani...
Nazipenda nywele zangu za mwili mzima, na ningependa zote zikoge kwa mafuta!​
 
Mafuta ya nywele ni yale yanayo tumika kwenye nywele tu za kichwani. Ukitaka kujipaka nywele zako zote za mwilini jipake kwa mafuta ya nazi na mafuta ya zaituni kwa kiingereza yanaitwa jina hili (Olive Oil) angalia picha hapo.

 
Teh teh, ufanye steaming mwili mzima ili nywele zote zikue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…