Mafuta ya Petroli yameshuka kuliko maelezo

Petrol imeshuka bei kweli ILA SERIKALI YA CCM WATAFANYA HILA ILI WAPIGE DILI wananchi wasi benefit chochote.
 
sababu nyingine 1000 za kuing'oa serikali ya CCM madarakani ...
 
Ebu mtu atudodosie kenya yamefika sh ngapi kwa lita.Maana wenzetu wapo very aggressive sio kama sisi MALOFA.
 
ila bongo haishuki serikali iko mifukoni mwa matajiri bilion3 ya ufunguzi wa campeni ya ccm wangepata wapi?
 
Safi IPI Mkuu,hapo hawatapunguza hata cent sana sana wataongeza hapo

Hata yakishuka baada ya uchaguzi poa. Hawa watendaji wa EWURA nao siasa zimewajaa. Wanaangalia wanasiasa watasemaje , anyway let us throw them out.
 
Mungu jalia nasi tuwe na mafuta yetu wenyewe. Amen

Tuna dhahabu , tanzanite, maliasili and the like lakini hali bado ngumu, hakuna namna ni kubadilisha mfumo ccm. Inasemwa asiye jaribu kitu tofauti maishani mwake hawezi pata maendeleo bora kamwe.
 
Wakati ninyi mnategemea kushushiwa bei, wengine wanafikiria kupiga bilioni zao kadhaa.
 
Huku kusini nimeona jana yamepungua kidogo bei.Petroli kutoka 2362 mpaka 2280. Lakini hata hivyo haiendani kabisa na poromoko kubwa la petroli ghafi kwenye soko la dunia.
 
Hivi jaman kwa mfano watu wamenunua mzigo mwezi uliopita ukiwa unauzwa sh10 mpaka umefika tz ni mwezi mzima alafu ile mzigo unafika tu kule walikonunua ule mzigo bei imeshuka mpaka sh5 watapunguza bei ama mpaka waagize mwengine kwa hyo sh5 ndo bei ishuke
 
bro kuwamwaga ndio nia yetu tulio wengi hasa mijini, lkn umeona wanavyohadaa watu huko vijijini......? bila kusahau goli la mkono
 
Ewura hapo macho yana gundi, yakipanda ni fastaaa kabla hata mtangazaji hajamaliza kutangaza...
Wanajamvi tuanze kupiga kelele.
Halafu hii Ewura mkuu inakera sana eti gharama za uendeshaji wake tunakatwa kwenye bili za umeme kana kwamba wizara haina bajeti ya kuiendesha
 


Hao wasiomtegemea Mungu nao tunawaombea wamtegemee Mungu ili taifa hili liwe la wacha Mungu
 
Ombea maji yageuke petrol mkuu. Naona hujui maana ya uongozi na mfumo kandamizi. Nina uhakika hata kura wewe hupigi kwasababu unaamini haya yanayotokea yanahitaji maombi tu.

Poor you.
Ni kumtegemea Mungu tu ndo dawa, unaweza ukapiga kura vituo vyote vya Dar ila kama hakuna hofu ya Mungu ni bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…