Mafuta ya samli -KCC

Mafuta ya samli -KCC

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
mwenye uelewa wa haya mafuta please naomba anisaidie..nimeambiwa hapa ni mazuri kwenye kuchanganya na uji wa mtoto..tho mwingine ananiambia noo...nimeyanunua hapa je..nikamuanzishie hiyo diet?as am abit confused
 
Back
Top Bottom