Mafuta ya Spanish oil yametibu jino langu lililooza

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
Wadau, sikuambiwa na mtu yeyote lakini nilijikuta natumia mafuta ya zeituni yanaitwa Spanish oil kama dawa ya meno. Nilikuwa na jino lililooza haps reception nikawa natumia kama dawa ya meno asubuhi na jioni. Kwa muda wa wiki tatu. Nimekuta jino lilooza limekaa vizuri na rangi yake ya asili.
Nalileta jukwaani ili wataalamu watuthibitishie kama tuyatumie kwa matatizo ya kinywa na meno au la. Asanteni naomba kuwasili.
 

Attachments

  • 1418889620554.jpg
    39.8 KB · Views: 230
Yap!!! nimewahi kutumia na kupata matokeo mazuri ila mi sio mtaalam!!
wao wakija wataleta fact !!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…