Mafuta ya T444z ni kweli yanakuza nywele?

Mafuta ya T444z ni kweli yanakuza nywele?

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
541
Reaction score
461
Habari zenu wapenda urembo,
Nimekutana na Matangazo kuhusu haya mafuta katika mitandao ya kijamii ikionesha watumiaji wa mafuta haya wakiwa na nywele ndefu kupita kiasi,

Je ni kweli, naomba ushuhuda Kwa yeyote aliyewahi kutumia mafuta haya.
 
hamna relationship yeyote...hizo ni kamba za kibiashara!
 
Back
Top Bottom