U uajekundu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2016 Posts 541 Reaction score 461 Dec 26, 2016 #1 Habari zenu wapenda urembo, Nimekutana na Matangazo kuhusu haya mafuta katika mitandao ya kijamii ikionesha watumiaji wa mafuta haya wakiwa na nywele ndefu kupita kiasi, Je ni kweli, naomba ushuhuda Kwa yeyote aliyewahi kutumia mafuta haya.
Habari zenu wapenda urembo, Nimekutana na Matangazo kuhusu haya mafuta katika mitandao ya kijamii ikionesha watumiaji wa mafuta haya wakiwa na nywele ndefu kupita kiasi, Je ni kweli, naomba ushuhuda Kwa yeyote aliyewahi kutumia mafuta haya.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Dec 26, 2016 #2 hamna relationship yeyote...hizo ni kamba za kibiashara!
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Dec 26, 2016 #3 Hamna kitu nshatumia.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Dec 26, 2016 #4 KakaJambazi said: Hamna kitu nshatumia. Click to expand... Kakajambazi ulitaka nywele ndefu??
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Dec 27, 2016 #5 BADILI TABIA said: Kakajambazi ulitaka nywele ndefu?? Click to expand... Kuotesha kipara au nywele zinazokatika.
BADILI TABIA said: Kakajambazi ulitaka nywele ndefu?? Click to expand... Kuotesha kipara au nywele zinazokatika.