C Cartoons Senior Member Joined Jul 16, 2012 Posts 122 Reaction score 39 Jul 19, 2012 #1 Kumekuwa na tatizo la mafuta ya taa hapa mwanza kwa takriban wiki 3 hivi. Cha kushangaza hata vile vituo vya mafuta vichache vilivyokuwa nayo ,yakiisha hawaleti mengine. Je,tatizo ni nini ?
Kumekuwa na tatizo la mafuta ya taa hapa mwanza kwa takriban wiki 3 hivi. Cha kushangaza hata vile vituo vya mafuta vichache vilivyokuwa nayo ,yakiisha hawaleti mengine. Je,tatizo ni nini ?