Ronzobe B29 JF-Expert Member Joined Jul 8, 2017 Posts 242 Reaction score 89 Aug 5, 2017 #1 Kama uz wajieleza Mtu akiumia mguuni au sehem yeyote nmeona hua wanaweka mafta ya taa naomba kuelewa ni dawa
Kama uz wajieleza Mtu akiumia mguuni au sehem yeyote nmeona hua wanaweka mafta ya taa naomba kuelewa ni dawa
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,171 Reaction score 34,394 Aug 5, 2017 #2 Mojawapo ya harufu zinazonikera na kujisikia hovyo ni haya mafuta kwa kweli inaweza kuwa ni dawa mkuu labda ndio ya mbadala na spirit sina hakika lakini. Madame S
Mojawapo ya harufu zinazonikera na kujisikia hovyo ni haya mafuta kwa kweli inaweza kuwa ni dawa mkuu labda ndio ya mbadala na spirit sina hakika lakini. Madame S
happymwashi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 980 Reaction score 846 Aug 5, 2017 #3 Dawa endapo umechomwa na kitu chenye bati, Chuma Sent using Jamii Forums mobile app