Mafuta ya tumeric na fair and love whitening yapi mazuri zaidi?

Titia

Senior Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
155
Reaction score
114
Habarini wana jamii,

naomba msaada wa kuyajua haya mafuta tajwa hapo juu. Nahitaji mafuta mazuri ya kung'arisha mwili mzima ambayo ntachanganya na lotion au ntapaka juu yake.

Nataka kufahamu kama hayachubui, na je yana madhara. gani kama mtu alishawahi tumia. Naona yanasifiwa sana, kabla sijafanya maamuzi naombeni ushauri kama yanafaa kwa matumizi bila kubadili rangi.

Asanteni
 
Nachojua ni mpja kati ya vipodozi vilivyopigwa marufuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…