Mafuta ya ubuyu!

Mafuta ya ubuyu!

utiyansanga

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
213
Reaction score
7
Nawafahamu watu ambao wametumia dawa hii au kuwajua watu waliotumia mafuta haya na kuwasaidia sana -Mafuta ya ubuyu ,ili kuwasaidia na wengine humu Jf MAFUTA YA UBUYU NI DAWA INAYOWEZA KUTIBU MAGONJWA MENGI.nI MAFUTA YANAYOTOKANA NA MBEGU ZA UBUYU.Magonjwa hayo ni kama/kazi za mafuta ya ubuyu:
  • kutengeneza cell zamwili,kutengeneza ngozi ya mwili,
  • kuondoa lehemu na kupunguza uzito
  • kurutubisha ini na figo
  • kuleta hamu ya kula
  • kuongeza kinga ya mwili CD4
  • KUONDOA SUMU MWILINI
  • Kurekebisha kiwango cha sukari mwilini
  • kufanya uone vizuri
  • magonjwa ya ngozi
  • yanatumika kwa walemavu wa ngozi
  • kwa wale wanakunywa pombe kupita kiasi ...yanapunguza hamu hiyo
  • KAMA UNA MGONJWA AJARIBU KUTAFUTA MAFUTA HAYA YTAMSAIDIA
KUNA MUUZAJI NINAYE MFAHAMU MPIGIE ..065814 16 00/0767 14 16 00/0787 14 16 00 na 0653 00 10 53
 
ni habari nzuri nimeipenda. swali yanatumika kwa kunywa, kupikia, au kulamba.
 
Back
Top Bottom