utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Nawafahamu watu ambao wametumia dawa hii au kuwajua watu waliotumia mafuta haya na kuwasaidia sana -Mafuta ya ubuyu ,ili kuwasaidia na wengine humu Jf MAFUTA YA UBUYU NI DAWA INAYOWEZA KUTIBU MAGONJWA MENGI.nI MAFUTA YANAYOTOKANA NA MBEGU ZA UBUYU.Magonjwa hayo ni kama/kazi za mafuta ya ubuyu:
- kutengeneza cell zamwili,kutengeneza ngozi ya mwili,
- kuondoa lehemu na kupunguza uzito
- kurutubisha ini na figo
- kuleta hamu ya kula
- kuongeza kinga ya mwili CD4
- KUONDOA SUMU MWILINI
- Kurekebisha kiwango cha sukari mwilini
- kufanya uone vizuri
- magonjwa ya ngozi
- yanatumika kwa walemavu wa ngozi
- kwa wale wanakunywa pombe kupita kiasi ...yanapunguza hamu hiyo
- KAMA UNA MGONJWA AJARIBU KUTAFUTA MAFUTA HAYA YTAMSAIDIA