Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Miaka ya nyuma kidogo uliibuka mvutano baada ya kuusemekewa kuwa ukanda wa bahari unaoizunguka Zanziba una mafuta. Kuna sauti za nguvu sana zilizosikika kutoka Zanzinbar zikidai kuwa hata kama mafuta hayo ni kinibu tu, ni mali ya Zanziba nma walamyasiguswe na serikali ya Dodoma. Ni miaka imepita sasa, kelele hizo zimetoweka lakini magfuta hayajulikani yalikwenda wapi.
Kuna taarifa zozote mpya kuhusu mafuta hayo?
Kuna taarifa zozote mpya kuhusu mafuta hayo?