Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Emb Magufuli ampigie tena Museven chap alete mafuta. Hiyo ndiyo faida ya kutoweka "rokudauni"Mafuta petroli na dizel yamepotea kuanzia Mji mdogo wa Ruaha hadi Ifakara. Lita moja ya petrol twauziwa shs 3,000/ kwenye chupa. Yaani ni shida tupu.
Ewura saidia please.
Mkuu aliwahi sema, serikali hatufanyi biasharaKunawakati nlkua nawaza hv serekali isingeweza kununua na kuweka akiba kubwa ya mafuta yalivyoshuka bei kwa kutumia zile pesa raisi huwa anasema tunaakiba ya kulisha nchi hata miezi mitano ili yakipanda iyauze kwenye makampuni ya mafuta ya ndani iweze kuvuna hapo faida ya haraka. Nikawaza lamda hatuna tank za kutosha kihifadhi kiwango kikubwa cha mafuta lamda.
Sizan km n mm nilisema hvyoMkuu aliwahi sema, serikali hatufanyi biashara