bei ishapanda tayari, na wabongo walivyo waungwana wa shida wanajaza mafuta tu bila kujihoji kama ni sahihi au la.Kuna taarifa nimezipata punde kuwa kutakuwa na shortage ya mafuta hasa ya Petrol mara to baada ya uchaguzi so nawajulisha wana JF mwende petrol stations mkajaze magari yenu full tank...
bei ishapanda tayari, na wabongo walivyo waungwana wa shida wanajaza mafuta tu bila kujihoji kama ni sahihi au la.
ntashangaa sana watanzania wakichagua MAAFA.
ccm wamekomba HAZINA na sasa wanahaha kurejesha funds kwani wanahisi ndo kitumbua kipo mchangani. nahisi hii shortage ni ya kupanga kwani kuna manuva ipo mahala na duniani hakujatangazwa downfall ya uzalishaji mafuta.
hivi tujikumbushe lile tukio la mafuta kuwagika bandarini, ziliteketea lita ngapi vile???? fidia ililipwa na nani?
Shortage means u wont be able to get fuel easily when u want it so better weka akiba mapemawapi bana weee!
ukijaza full tenk then what?
kwa hiyo akiba ni FULL TANK?.....Shortage means u wont be able to get fuel easily when u want it so better weka akiba mapema
Akiba sio tu full tank kaka tumia na common sense yako kumake sure una akiba hata ukiamua kujaza madumu na kuweka home ni sawa kweli nimeamini common sense is not common to everybodykwa hiyo akiba ni FULL TANK?.....
ha ha ha!acha hizo bwana mkubwa