Ni walewale wauzaji wa asali mbichi kutoka lumbe tabora, sasa wanakuletea mafuta safi ya alizeti kutoka singida. Yanapatikana hapahapa dar es slaam kwa bei nafuu kabisa ukilinganisha na ubora wake. Mpango mzima ni Hivi, Bei zetu za Asali ni. 1/4lt= 2000, 1lt= 8000, 5lt= 35000, na 20lt= 120000. vilevile tunayo asali ya nyuki wadogo (Nyori) ambayo; 1/4lt= 5000, na 1lt= 20000. Bei zetu za mafuta ni ; 1lt= 3000, 5lt= 15000, na 20lt= 60000.