M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Nov 4, 2025 #1 Hali ni mbaya sana. Hakuna mafuta kabisa ya kuendeshea vyombo vya moto. Nina hela mfukoni lakini magari hayana mafuta. Wateja wangu wa Kangala waliniambia nikahemee Ambiace Buseresere. Lakini hakuna usafiri.
Hali ni mbaya sana. Hakuna mafuta kabisa ya kuendeshea vyombo vya moto. Nina hela mfukoni lakini magari hayana mafuta. Wateja wangu wa Kangala waliniambia nikahemee Ambiace Buseresere. Lakini hakuna usafiri.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 4, 2025 #2 Aiseeee
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Nov 4, 2025 #3 Chato imeishia vibaya sana