Mafuta yamepanda, Media na watanzania kimya cha kaburi, wapo bize na Yombo Dovya Ajabu!

Chawa wa Zamani

Senior Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
145
Reaction score
224
Mpk Sasa nimefuatilia vyombo vya habar ving sana sio Ayo tv, sio kitenge tv...kimya Cha kaburi! n vichache mno vimeweza kutoa taarifa hii ikiwemo Jamii forum..

Hizi taarifa n tokea Jana usiku zimetoka ila kinachosikitisha Mambo haya hayana airtime Tanzania sio kwenye Media sio Kwa watanzania walio ktk Lindi la umasikin na upumbavu uliokithiri.

Ni kwanin issues hiz zinazoathir mpk kesho yako hatuna habar nazo? ...n nani kawaroga? nyie vichwa maji Tena ya kisima! lkn mambo ya wagoni wa kule Dovya tumekaza shingo?

Yana manufaa Gani kweny kuregulate Bei za mafuta ? Je yatapunguza tozo ? yatakupunguzia makali yap ya umasikin wako uliokithiri? nk...

Amkeni!! na Kwa uwezo wenu mchache wa kung'amua n waz watesi wataendelea kupandisha! pandsha ! Kwan wanajua hii mizoga tutaichanganya na issues za wagoni nk...yatasahau tu ...

SISI wachache wenye 'utimamu' tunaiuliza serikali ije na majawabu ya msingi juu ya hili inakuwaje Bei ya mafuta nje ishuke halafu huku kwetu inapanda kila sekunde?

Wasidhani kila mwana wa nchi n 'Mahoka' tupo wachache tunaojitambua na tutawahoji na ikibd tutawachukulia hatua. ..

Agghhh!!!

downloadfile-5.jpg
 
View attachment 3063895
Huo ndio mgawanyo wa majukumu,Hii ya mafuta tulijua utaileta wewe! Ahsante sana.
 
Kwani yameanza kupanda leo, si kila siku yanapanda na kushuka. Wewe umechukua hatua gani kwa mfano.
 
Mafuta yana kodi nyingi sana aisee watoe matakataka mengine ili bei iwe rafiki au wanataka yafike 1 lita kwa Tsh 5000 miezi ya karibuni tu..
 
Back
Top Bottom