Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
Wapo baadhi ya watu nimeona nywele zao zikiendelea kuimarika siku hadi siku baada ya kuathiriwa na Upara.
TID, huyu jamaa kuna kipindi alinyonyoka kabisa. Kipara kilikuwa kikionekana wazi wazi. Lakini kwa sasa si haba , ananywele. Ni jambo la kheri..
Samisago.
Huyu jamaa hakuna asiyejua kama alikuwa na uwaraza. Lakini kwa sasa jamaa kafuga hadi vi- Dready.
TBway. Huyu nae nywele zake zilikuwa zinaanzia ktkt ya kichwa. Lakini kwa sasa yuko Gudi.
Wakuu kwani dawa ni Ipi..
Wengine vichwa vya kunyoa Upara hatuna. Na maisha ya kuvaa kofia mda wote hatuwezi.