Mafuta

Mafuta

Ja60

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
276
Reaction score
177
Ni mafuta au losheni gan inafaa kwa ngozi yenye mafuta
 
Mafuta kwenye ngozi yenye mafuta!! Mbona usomeki?
 
Yaan namaanisha kuna watu wana ngoz ambayo nature yake ni mafuta xo inatakiwa wa2mie aina gan ya mafuta au losheni.
 
ni mafuta na lotion for oil skin.......
 
Unaeza ukaeka example ya mafuta au loshen for oily skin..
 
Atumie cream! Aloe propolis creme is an ideal cream for an oily skin
 
Back
Top Bottom