Ja60 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2012 Posts 276 Reaction score 177 Aug 5, 2012 #1 Ni mafuta au losheni gan inafaa kwa ngozi yenye mafuta
Sunshow JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,140 Reaction score 395 Aug 5, 2012 #2 Mafuta kwenye ngozi yenye mafuta!! Mbona usomeki?
Ja60 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2012 Posts 276 Reaction score 177 Aug 5, 2012 Thread starter #3 Yaan namaanisha kuna watu wana ngoz ambayo nature yake ni mafuta xo inatakiwa wa2mie aina gan ya mafuta au losheni.
Yaan namaanisha kuna watu wana ngoz ambayo nature yake ni mafuta xo inatakiwa wa2mie aina gan ya mafuta au losheni.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Aug 5, 2012 #4 ni mafuta na lotion for oil skin.......
Ja60 JF-Expert Member Joined Aug 5, 2012 Posts 276 Reaction score 177 Aug 5, 2012 Thread starter #5 Unaeza ukaeka example ya mafuta au loshen for oily skin..
REX JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 338 Reaction score 55 Aug 6, 2012 #6 Atumie cream! Aloe propolis creme is an ideal cream for an oily skin