Mafwele atangaza msako kutafuta watu aliyo watuma yeye !!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Ni wazi sasa kiongozi wa watekaji anaitwa Mafwete ambaye ni Polisi na yeye ndiye aliyeenda kumchukua Polepole eti leo anasema anafanya msako wa kutafuta na kubaini walio mshambulia msaidizi wa Lissu wakati yeye ndiye kiongozi wa genge! Yeye ajui wenzake hao mafisadi watakimbilia Oman na Dubai ambako wamelimbikiza pesa yeye atabaki mtaani Tanzania na ni muda tu kazi itaisha na atabaki na watu.
 
Hajui ilo! Anahisi atadumu milele labda,
 
Inasemekana ana mjengo Pretoria(inasemekana).
Amechota mamilioni mengi(extortion) kwa Wahindi, aina ya extortions alizokuwa akifanya Makonda enzi za Jiwe.
 
Zati sonofabitch is an idiot!
 
Inasemekana ana mjengo Pretoria(inasemekana).
Amechota mamilioni mengi(extortion) kwa Wahindi, aina ya extortions alizokuwa akifanya Makonda enzi za Jiwe.
Na familia yake yote inaishi SA. Mke huja kutalii tu.
 
Mafwele ni moja ya mapandikizi ya Kagame kwenye taasisi zetu za ulinzi na usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…