johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi marehemu Mchungaji Mtikila...aliwahi kuwa mwanachama wa chadema?...Hili neno " Magabachori" lilitumiwa sana mchungaji Mtikila RIP wakati anagombea ubunge Ludewa kwa tiketi ya Chadema baada ya kifo cha Kolimba.
Gabachori ni nani?
Maulid mubarak!
Gabachori ni ubaguzi?Acha kuleta uzi zenye kuchochea ubaguzi
Ova
Ndio kama alivyokuwa Juma Duni HajiHivi marehemu Mchungaji Mtikila...aliwahi kuwa mwanachama wa chadema?...
Acha urongo. Mtikila alianza kuita Wahindi wezi Magabachori pale viwanja vya Jangwani. Wakati huo hakuwa amejiunga Chadema badoHili neno " Magabachori" lilitumiwa sana mchungaji Mtikila RIP wakati anagombea ubunge Ludewa kwa tiketi ya Chadema baada ya kifo cha Kolimba.
Gabachori ni nani?
Maulid mubarak!
RIP MTIKILAHili neno " Magabachori" lilitumiwa sana mchungaji Mtikila RIP wakati anagombea ubunge Ludewa kwa tiketi ya Chadema baada ya kifo cha Kolimba.
Gabachori ni nani?
Maulid mubarak!
Analeta mambo ya mwarabu kokoAcha kuleta uzi zenye kuchochea ubaguzi
Ova
Ahsante kwa ufafanuzi bwashee!chuki baina ya wafanyabiashara wenye asili ya Afrika na Wahindi
Karibu mkuuAhsante kwa ufafanuzi bwashee!
mrangi siyo mwarabu bwashee!Analeta mambo ya mwarabu koko
Mimi nijuavyo marehemu Christopher Mtikila alikuwa na chama chake. Kilikuwa kinaitwa DP (Democratic Party)Ndio kama alivyokuwa Juma Duni Haji
Alipokufa Kolimba mchungaji Mtikila alikodishwa na Chadema akagombee ubunge Ludewa hivyo alipewa kadi ya uanachama.Mimi nijuavyo marehemu Christopher Mtikila alikuwa na chama chake. Kilikuwa kinaitwa DP (Democratic Party)
Mtikila alikuwa ni kati ya wagombea 10 wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Katika uchaguzi huo alipata kura asilimia 0.27
No sio kweli........ninachokumbuka mimi ni....Alipokufa Kolimba mchungaji Mtikila alikodishwa na Chadema akagombee ubunge Ludewa hivyo alipewa kadi ya uanachama.
Inawezekana ulikuwa mdogo wakati huo!
Sasa unanibishia mimi niliyekuwa katika timu ya kampeni bwashee!!!No sio kweli........ninachokumbuka mimi ni....
Mtikila alifungwa kwa mwaka mmoja mnamo 1999 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa maneno ya kashfa dhidi ya aliyekuwa katibu mkuu wa CCM, marehemu Horace Kolimba