Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Jan 31, 2026 #1 Wakati Iran anatandikwa na Marekani wakati huohuo Magaidi wa Hamas nao wanapata kipigo cha mbwa-mwili huko Gaza!!!! Safari hii Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran wanapata kipigo kwa pamoja!!! Yajayo 6anafurahisha!!! View: https://x.com/vividprowess/status/2017590868220280929?s=61
Wakati Iran anatandikwa na Marekani wakati huohuo Magaidi wa Hamas nao wanapata kipigo cha mbwa-mwili huko Gaza!!!! Safari hii Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran wanapata kipigo kwa pamoja!!! Yajayo 6anafurahisha!!! View: https://x.com/vividprowess/status/2017590868220280929?s=61
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 1, 2026 #2 Ngoja wanyoshane kidogo... Cc: Mahondaw