Magaidi wa Hamas waangamizwa huko Gaza!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Majeshi hodari ya Israel Jana yaliendeleza wimbo la kuwaangamiza magaidi wa Hamas huko Gaza safari hii wameangamizwa magaidi 16 waliokuwa tishio kwa majeshi ya Israel

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Majeshi hodari ya Israel Jana yaliendeleza wimbo la kuwaangamiza magaidi wa Hamas huko Gaza safari hii wameangamizwa magaidi 16 waliokuwa tishio kwa majeshi ya Israel

Naam! Ni wahusika tuu ndo wanaolengwa. Wengine wasiohusika wanaachwa waendelee na shughuli zao. Majeshi ya Israel wanatumia weledi wa kiwango cha juu sana katika OP zao.
 
Yalivyokuwa yanashangilia ile oct 7 yalijua hayafikiwa ujinga mzigo.
 
Hatukubali.Death to America!Down with Israel!Sisi kama wapalastaini tutalipiza kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…