Yahudi kutoka kilimatinde unaleta uharo jamvini.⚠️picha⚠️
Magaidi 2 waliuawa katika shambulio lililolenga gari la magaidi kwenye mlango wa al-Zahra, kaskazini magharibi mwa kambi ya Nuseirat katikati mwa Gaza.
Magaidi wa Hamas wanazidi kupukutishwa tuwaombee tu!!
Tena, ndege ya upelelezi ililenga eneo karibu na Makutano ya al-Samer katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, na kuwaua 3.
Amshukuru ayatollah wa bei ya jioni maarufu humu JF yupo kifungoni, pasingetosha humuYahudi kutoka kilimatinde unaleta uharo jamvini.
⚠️picha⚠️
Magaidi 2 waliuawa katika shambulio lililolenga gari la magaidi kwenye mlango wa al-Zahra, kaskazini magharibi mwa kambi ya Nuseirat katikati mwa Gaza.
Magaidi wa Hamas wanazidi kupukutishwa tuwaombee tu!!
Tena, ndege ya upelelezi ililenga eneo karibu na Makutano ya al-Samer katika Jiji la Gaza, kaskazini mwa Gaza, na kuwaua 3.
18 kati Yao wanajeshi 15Mashariki ya kati wanachojua ni kuuana tu
Leo nimesikia tena na Pakistan jamaaa kajitoa mhanga kauwa watu kama 14 hivi
Huko mahala kupoa sijui itakuwa lini maana kila siku mto unawakaMashariki ya kati wanachojua ni kuuana tu