Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 May 20, 2025 #1 Unaposifiwa na Hamas - shirika la kigaidi la jihadi ambalo linaua watoto na kuwabaka wanawake - uko upande mbaya wa historia. Ni fedheha iliyoje kusifiwa na magaidi? Ufaransa,Uingereza,Kanada na wengine jitafakarini sana sana. Attachments IMG_2982.jpeg 86.2 KB · Views: 21
Unaposifiwa na Hamas - shirika la kigaidi la jihadi ambalo linaua watoto na kuwabaka wanawake - uko upande mbaya wa historia. Ni fedheha iliyoje kusifiwa na magaidi? Ufaransa,Uingereza,Kanada na wengine jitafakarini sana sana.
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 10,258 Reaction score 14,106 May 20, 2025 #2 Uzuri magaidi huwa hawana rafiki.Hizo nchi zikishambuliwa na magaidi , israel itabidi ichekee pembeni!
Uzuri magaidi huwa hawana rafiki.Hizo nchi zikishambuliwa na magaidi , israel itabidi ichekee pembeni!
M Mwanamlya JF-Expert Member Joined Dec 6, 2021 Posts 3,955 Reaction score 5,890 May 20, 2025 #3 "Watoto wa mbwa"
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,497 Reaction score 17,560 May 20, 2025 #4 Jackal said: Uzuri magaidi huwa hawana rafiki.Hizo nchi zikishambuliwa na magaidi , israel itabidi ichekee pembeni! Click to expand... Na hivi uingereza na ufaransa ilivyojaza magaidi muda si mrefu tutasikia kilio tu. Gaidi hana rafiki
Jackal said: Uzuri magaidi huwa hawana rafiki.Hizo nchi zikishambuliwa na magaidi , israel itabidi ichekee pembeni! Click to expand... Na hivi uingereza na ufaransa ilivyojaza magaidi muda si mrefu tutasikia kilio tu. Gaidi hana rafiki
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,378 Reaction score 13,198 May 20, 2025 #5 Mimi natamani UK,france na Spain Waarabu walianzishe kunuke na pia IDF iwasaidie Arabs maana Wazungu washachagua Devil side
Mimi natamani UK,france na Spain Waarabu walianzishe kunuke na pia IDF iwasaidie Arabs maana Wazungu washachagua Devil side