Asante kwa taarifa Mama mchungaji! Mungu akubariki!Magaidi wa Hezboullah waliokuwa wanasifiwa na Adiosamigo gallow bird gTurn Iceberg9 na Bwana wao Ritz sasa hivi wanacharazwa viboko na wao hawawezi kurusha hata jiwe kuelekea Israel maana wanajua kitakachofuatia.
Magaidi wa Hezboullah sasa hivi wanapigwa kama Ngoma!
Magaidi wa Hezboullah waliokuwa wanasifiwa na Adiosamigo gallow bird gTurn Iceberg9 na Bwana wao Ritz sasa hivi wanacharazwa viboko na wao hawawezi kurusha hata jiwe kuelekea Israel maana wanajua kitakachofuatia.
Magaidi wa Hezboullah sasa hivi wanapigwa kama Ngoma!!
--------------
Mashambulizi ya awali ya jeshi la IDF kwa Hezbollah
Acha kudanganya watu wewe North walisharudi na shule tayari zilishafunguliwa!!Chukueni silaha zao mlisema hakuna Hezbollah Sasa hao wametoka wapi? Kaskazini hurudi watu wanagwaya kurudi kaskazini ya Israel
Sasa hivi wanapumulia mashine!!!Iran ndiyo nchi pekee ambayo baada ya kutandikwa kikamilifu na Israel mwakajana, sasa hivi GDP yake inashuka kwa kasi, sarafu yao nayo imeporomoka kwa kiwango cha ajabu. Watalaam mbalimbali wa masuala ya uvhumi wa ndani na nje ya Iran, wanasema kwa mazingira yalivyo, itakuwa ngumu sana Iran kusimama tena. Chaguo pekee ni kunyosha mikono, ili waondolewe vikwazo, la sivyo itakuwa mwanzo wa kusambaratika kwa kwa taifa, maana kwa sasa ni Taifa lisilo na matumaini.
Hezbollah wanapigwa kama ngoma na hawadhubuti kurusha hata jiwe Israel mambo yamewaendea vibaya bwana wao Iran anapumulia machine kawaacha wapigwe kama ngoma!!Chukueni silaha zao mlisema hakuna Hezbollah Sasa hao wametoka wapi? Kaskazini hurudi watu wanagwaya kurudi kaskazini ya Israel