Walihamia kutoka wapi na waliupataje huo ufalme wakati walikuwa ni wazamiaji.
Kazi ya wahuni wa Kizungu
Kifupi tafuta historia utaelewa na itakushangaza!!
Mfalme wa Jordan kizazi chao ndicho kilikuwa kinaishi uko Saudia Arabia chenye historia kubwa na ile Ardhi!!
Sasa Imekuwaje wakajikuta wapo Jordan๐
tafuta historia kidogo utaelewa!!
Kabila la Saudis alikuwai kuwepo kabisa kwenye ile Ardhi ya Saudia Arabia!!
Ndiomana watawala wanafanya chochote lkn hakuna wakuwashutumu Sababu wanajuana wenyewe
Miaka ya nyuma sana Sheikhe mkuu wa MECCA MAKA alikuwa ndio mwenye nguvu zaidi kwenye ile Ardhi
Lkn Wazungu waliweka mkono wao pale kwenye kitomvu cha Dunia na Dini
wakaja wale wafalme wakafanya Mfalme ndio mwenye nguvu kuliko Shekhe mkuu wa Maka.
Yupo Jasusi mmoja kutokea UK kashawai kuwa Shekhe mkuu wa MAKA kateuliwa na Mfalme
leo Saudia Arabia ukiandamana tu
unanyongwa lkn Ulimwengu umekaaa kimyaa๐
Utajiri wa Saudia ungetumika vizuri Ulimwengu mzima ungenufaika!!
Lkn Taifa limekuwa ng'ombe wa Wazungu!!
Ndiomana unaona uwepo wa Houthi pale Yemen unawasumbua wengi sio Saudia Arabia tu Wazungu wengi wanaangaika kuwazima wale Wahouthi ๐
hofu yao kuu Iranian inaweza kuivamia Saudia Arabia kutokea Iraqi na Yemeni ng'ombe mwenye kunona kiangazi mpaka masika atakimbia mazima!!!!
Ndiomana ile Vita ya Iranian sio ndogo ๐
Sababu inafaamika lazima Iranian ilijiandaa kwa Vita kubwaa zaidi
Tunakumbuka ile Vita Saudia kasaidiwa sana๐
lkn Wahouthi wapo pale โ๏ธ