Nasikia,wamejanga Kabaab yao thus sio lazima kwenda Saudia,tenaHabari za kusikitisha : Magaidi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran wanaripotiwa kushambulia Msikiti wa Al Saeed huko Taiz, Yemen, huku waumini Waislamu wakiwa ndani.
Wahouthi wanadai kuwatetea Waislamu, lakini ripoti sasa zinawashutumu kwa kuwashambulia Waislamu wakati wa sala.
Hawautetei Uislamu. Wanaeneza ugaidi kwa jina lake.
Wanashambulia ma Sunni, wao ni shia, mi nasubili walipue ule mjiwe mnaozunguka kule Mecca,Habari za kusikitisha : Magaidi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran wanaripotiwa kushambulia Msikiti wa Al Saeed huko Taiz, Yemen, huku waumini Waislamu wakiwa ndani.
Wahouthi wanadai kuwatetea Waislamu, lakini ripoti sasa zinawashutumu kwa kuwashambulia Waislamu wakati wa sala.
Hawautetei Uislamu. Wanaeneza ugaidi kwa jina lake.
Wanashambulia ma Sunni, wao ni shia, mi nasubili walipue ule mjiwe mnaozunguka kule Mecca,
Hamsemi Israel ilivyoshambulia synagogues za kiyahudi pale Tehran...
Israel imelipua makanisa gaza na Lebanon hatuoni kelele. Pia Israel imelipua synagogue kubwa pale Tehran bila kujali kuna wayahudi walikua wanasali likapita nao. Ila kombora la Houthi likitua msikitini ndio kelele?
Hatakama umetoka kuliwa kisamvu cha kopo.UKIFIKA msikitini unaenda peponi
Jiwe angavu Mimi ni mwanaume halali Wacha kunitukana kama ww umezoea kuchezewa namna hiyo baki na tabia yako na ujiheshimu wapi nimekutukana jifunze kujiheshimu naweza kukufanya kitu mbaya muda wowote usizani umeficha utambulisho wako hapa uchi kabisa waziHatakama umetoka kuliwa kisamvu cha kopo.
Kama hiyo ni collateral Damage basi wapige tu hilo jiwe jeusi!!Israel imelipua makanisa gaza na Lebanon hatuoni kelele. Pia Israel imelipua synagogue kubwa pale Tehran bila kujali kuna wayahudi walikua wanasali likapita nao. Ila kombora la Houthi likitua msikitini ndio kelele?
Hii tunaita collateral damage.