Setuba Noel
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 426
- 210
Wakala wa Al Shabaab alikodi fremu ya duka pale Westgate tangu January. Wakaanza kujaza stock ya silaha na mabomu kidogo kidogo bila kustukiwa. Jumamosi waliingia na silaha ndogondogo tu za kudhibiti walinzi getini, lakini nyingine kali zaidi zilikuwa ndani tayari, tena kwa wingi sana. Waliokodi chumba ni wengine na waliokuja kufanyiza ni wengine ambao wamejikusanya kutoka nchi tofauti katika mtandao wao.
Wadau hamuoni hapa Intelligence System ya Kenya ilizembea?
Wadau hamuoni hapa Intelligence System ya Kenya ilizembea?