Setuba Noel
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 426
- 210
Wakala wa Al Shabaab alikodi fremu ya duka pale Westgate tangu January. Wakaanza kujaza stock ya silaha na mabomu kidogo kidogo bila kustukiwa. Jumamosi waliingia na silaha ndogondogo tu za kudhibiti walinzi getini, lakini nyingine kali zaidi zilikuwa ndani tayari, tena kwa wingi sana. Waliokodi chumba ni wengine na waliokuja kufanyiza ni wengine ambao wamejikusanya kutoka nchi tofauti katika mtandao wao.
Wadau hamuoni hapa Intelligence System ya Kenya ilizembea?
Hakuna uzembe wowote ni tukio la Kigaidi.... Uzembe ni pale wangeambiwa tutatia timu siku flan na saa flan mjipange tuje tupigane.... Kilichonisikitisha zaidi jamaa wamesepa wote kwenye mfereji wa taka.... Raisi wa kenya amepitiliza kwa Uongo no kuua no kuwamaliza no kuwashinda Magaidi....
Kwani wametoroka?

hizi habari bana sijui vipi kila mtu na lake kama za babu yetu wa loliondo
Du hivi kumbe walisepa!?Hakuna uzembe wowote ni tukio la Kigaidi.... Uzembe ni pale wangeambiwa tutatia timu siku flan na saa flan mjipange tuje tupigane.... Kilichonisikitisha zaidi jamaa wamesepa wote kwenye mfereji wa taka.... Raisi wa kenya amepitiliza kwa Uongo no kuua no kuwamaliza no kuwashinda Magaidi....
Kwani wametoroka?
Uzembe upo maana hata wa mashambulizi askari walitakiwa kudhibiti kila eneo kuhakikisha hawatoroki, unfortunately Al-Shabab ni werevu kuliko jeshi ndiyo maana they,managed to escape through the tunnel with 100m from the mall to the river

jamani ni kweli kiswahili ni Tatizo???Yani kilichotakiwa ni vyombo vya usalama kufanyia kazi mchoro mzima wa jengo na kutambua kwamba watekaji wanaweza ktoroka kupitia njia zipi. NIS hilikuwa na taarifa hila ikashindwa kujipanga vizuri. Sidhani kama kuna raia wa Israel haliyekufa pale; kwanini? Hivyo taarifa zilikuwepo na Kenya hikashindwa kuzifanyia kazi vizuri.
Bora kiswahili hicho kuliko kuchanganya kingereza na kiswahili, wewe unaonaje?jamani ni kweli kiswahili ni Tatizo???
Tetesi kwa Sababu Serikali ya Kenya haina Ushahidi kuwa waliwakamata au kuwaua Magaidi..... na Dalili zinaonesha majibu yoteDu hivi kumbe walisepa!?