Tetesi: Magaidi waloshambulia Madina ni mkono wa Israel

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Kuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina
 
Kuna jambo lolote baya likitokea Muslim kaacha kumsingizia Muisrael? Jibu Hakuna
kwa nini hawa jamaa wanatupiana shutuma badala ya kutafuta suluhisho la kudumu?

Mimi katika Maisha nimejifunza kwamba usitafute Mchawi bali tafuta njia Bora ya kutatua tatizo bila kutoa shutuma kwa mwenzako.

Hiyo ndiyo njia Bora ya kutatua tatizo.
 
naona unafanya zoezi la kukimbia kivuli juani. Go back to history utaelewa nini kinachotokea.
Hata Mungu akirihusu wayahudi duniani wote wafe leo jioni, utakuja na story nyingine.
 
kwa nini hawa jamaa wanatupiana shutuma badala ya kutafuta suluhisho la kudumu?

Mimi katika Maisha nimejifunza kwamba usitafute Mchawi bali tafuta njia Bora ya kutatua tatizo bila kutoa shutuma kwa mwenzako.

Hiyo ndiyo njia Bora ya kutatua tatizo.

Ukiwa tu mwislamu tayari umepata cheti cha kulalama ovyo,Na ukipata tatizo hutaacha kulaumu Marekani,Au wanakombilia sasa hivi kwenye nchi wanazoziita wao MAKAFIRI Ambako wanafata maisha bora(nchi za magharibi),Israel au Wakristo hawawezi kuacha visingizio.ishakuwa desturi zao nasikia siku hizi wanaitwa WAZEE WA KULALAMA
 
another marijuana smoker[emoji84]
 
ujue nyie waislam mnachekesha sana nyie wenyewe hampendani hata kidogo mfano ni shia na suni hawaivi chungu kimoja kama maharage na mawe.
israel ameingiaje hapo kwenye ugaidi?
wakati israel now wapo uganda kesho kutwa kenya wanamalizia ethiopia.... waliowalipua ni hao wenzenu ISIS,hao islamic state hawana akili nzuri ata kidogo
 
Kuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina
Duru gani izo?..Na kwa nin i washambulie saudia?..for what sensible reason any way?
 
Nguvu kubwa mno inatumika humu ndani isiyo na tija,nabaki najiuliza:-

1. Hao waliowatuhumu wa Israel wanawasikia ??

2.Waisrael wanajua kuwa munawatetea na kuwapenda sana ??

3.Wewe unapungukiwa na nini kama mwarabu anamshutumu muisrael kiasi cha kufikia kumtusi/kumkejeli mtz/mweusi mwenzako kwa mambo yasiyokuhusu ??

4.Unamjumuhishaje muislamu asiyetoa neno lake kwenye hiyo kauli ???

5. Hivi ni kweli kabisa kabisa mtu mwenye akili ataumizwa na visivyo muhusu ???
 
Hivi ni kwanini waislamu kila jambo baya likwapata mnatafuta mchawi na kwanini dini yenu tu ndo inatumika na marekani kama mnavyosema wakati duniani kuna dini nyingi?
 
Ukiwa tu mwislamu tayari umepata cheti cha kulalama ovyo,Na ukipata tatizo hutaacha kulaumu Marekani,Au wanakombilia sasa hivi kwenye nchi wanazoziita wao MAKAFIRI Ambako wanafata maisha bora(nchi za magharibi),Israel au Wakristo hawawezi kuacha visingizio.ishakuwa desturi zao nasikia siku hizi wanaitwa WAZEE WA KULALAMA
Mkuu hayo ni mapungufu yetu tivumiliane sawa boss
 
Back
Top Bottom