Hili wadau walitabiri humu humu jf mara tu baada ya mlipuko. Tulisubiri muda tuKuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina
Kwani Israel wanaogopwa? Kama ushahid wanao si wawafurumue tu?Kuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina
Siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.Israel ndio kinara wa kuvuruga amani mashariki ya kati wakishirikiana na marekani sasa wewe inakuuma nini wakishtumiwa waisrael?Hivi ni kwanini waislamu kila jambo baya likwapata mnatafuta mchawi na kwanini dini yenu tu ndo inatumika na marekani kama mnavyosema wakati duniani kuna dini nyingi?
Siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.Israel ndio kinara wa kuvuruga amani mashariki ya kati wakishirikiana na marekani sasa wewe inakuuma nini wakishtumiwa waisrael?
Kwani ni taifa la kikristo lile?!?....North Korea ingekuwa taifa la kiislam mngeanza kulitolea macho lkn sio mpo kimyaa
hapa umeandika kama mtu aliyenusurika kulawitiwaHasira za Waarabu ati Wayahudi wana elimu na walikataa kuwapa elimu na wao ndio Hasira wanawaita watu wa Kitabu
hahahaaaaaaaaaahapa umeandika kama mtu aliyenusurika kulawitiwa
Tulifanya kosa kukubali dini za kuletewa wakati tulikuwa na zetu,historia itaendelea kututafuna kama mla nyama ya mtu,asiyejua kuwa israel na muislam ni tom and jery ni mjinga.Naona hizi dini zilizokuja na mitumbwi zinatutenganisha sasa
Acha mie nikatambike mizimu dini yangu asilia ya mababu zangu [emoji84][emoji84][emoji84][emoji83][emoji83][emoji83][emoji317][emoji317][emoji317]
Wewe ni kama zezeta vile maana hujitambua nahisi na ndivyo ulivyo wewe ni mfuga Midevu na Majini.Mayahud ndie waliemkataa yesu na kumuua ambaye nyie huyo yesu mnamwita Mungu na Waislam yesu wenu wanamkubali kama mtume.je kwani mnawapenda mayahudi na mnawachukia Waislam tumien akili kufikiria mkristo hupaswi kumchukia muislam bali inapaswa kchukua mhahudi.
Ulivyo mjinga wewe usifikiri ni wote wako kama wewe pandikiza chuki hizo kwa SHIA na SUNNI kwetu umegonga mwamba sisi tumefundishwa Upendo ila ninyi ni chuki.Nyie wakiristo mngelifikiri hao mayahudi wanavyowachukia nyinyi msingewapenda.
Wewe una chuki binafsi na IsraelKuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina