Magaidi wanaofadhiliwa na Iran wapanga shambulizi kubwa la kigaidi dhidi ya wanariadha 88 wa Israel kwenye michezo ya Olympic Paris

Magaidi ni Mahasidi kwanini na wao wasianzishe Olympic zao za kuchinjana na kuchezea Kichwa kama mpira wa miguu.

Magaidi wa Kisuni wawachinje Magaidi wa Kishia and vice versa
Majinga kabisa. Mambo ya michezo wanaleta upuuzi wao.
 
Unataka kulipwa dollar ngapi kwa kila mbo/© itakayokuingia kunako jotoni ?
Jibu swali wewe mchicha mwiba,nimekwambia weka bei ili watu wazame pm waje wakukoboe hilo tope,

Naona umepaniki mimi kuuliza kwanini bendera yenu ya upinde hua mnalazimisha itumiwe kwenye michezo? Imekuuma sana mm kuuliza,ikabidi utoke mafichoni kuja kuitetea bendera yenu.
 
Taifa teule la Mungu!? Ondoka utumwani ndugu hakuna kitu kinaitwa taifa teule la Mungu.

Tanzania tuna mambo mengi ya kufanya. Hao wateule wasiposadiwa na aliyewateua maana yake watakuwa wametumbuliwa.
 
Bado hujasema
 
Wasijaribu kitakacho wakuta ni kama wale walio fanya tukio Munich wata windwa wote na kufyekelewa mbali
 
Iran sio ISIS mpaka ashambulie wasio na silaha.
Hizi propaganda za Israel hazitasaidia kitu juu yake.
 
Jibu swali wewe,hua mnapeleka bendera zenu za upinde kwenye michezo ili iweje?

Nilijua tu kua hilo ni swali gumu kwako na huwezi kulijibu,ukuta anashikishwa aliyekuzaa.
Kila mada lazima uchomekee mambo ya ushoga.
Lazima utakua unapumuliwa
Kisogoni sio bure?
Kashata ya nazi
 
Iran sio ISIS mpaka ashambulie wasio na silaha.
Hizi propaganda za Israel hazitasaidia kitu juu yake.
Iran ndio baba wa ugaidi duniani.

Na ndio mfadhili wa vikundi vyote vya ugaidi pale Middle East. Hezbollah, Houth, Hamas, Islamic Jihad nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…