superstar1
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 222
- 176
Wao wenyewe ni makafiri kwa kuua innocent people. Kafiri ni mtu yeyote anaeamini kinyume na imani yako.Hawataki makafiri
Mi naona viongozi wa dini wakutane wajadili madhara ya ugaidi, chanzo chake , Nini nia yao na nani yupo nyuma yao
Mtu akizoea kula nyama ya mtu, hawezi kuacha - nyerereJamani naomba mtu mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe. Hivi magaidi huwa wanataka nini ili waache mauaji na kutulia? (AlQaeda, Al Shabaab, BokoHaram etc). Kila theory ninayojaribu kuijenga nafika sehemu nakwama. Thanks.
Sijui kama suala hili ni la viongozi wa dini, gaidi wa kwanza ni serikali ya Marekani, miaka na miaka.Mi naona viongozi wa dini wakutane wajadili madhara ya ugaidi, chanzo chake , Nini nia yao na nani yupo nyuma yao
Kivipi mkuu?Sijui kama suala hili ni la viongozi wa dini, gaidi wa kwanza ni serikali ya Marekani, miaka na miaka.
Hujui watu na viongozi wa nchi mbalimbali waliouawa kwa mgongo wa nguvu za wa Marekani? Mapigano Afrika, ubaguzi wa rangi Afrika ambayo yote yamepelekea mauaji na mateso kwa watu ni ugaidi wao. Yaliyotokea Irak ndio ugaidi wenyewe huo, sasa kiongozi wa dini anahusika aje hapo? Papa John Paulo alimkalisha Bush juu ya Irak na hakumsikia.Kivipi mkuu?
Unachoongea ni kweli mkuu lakin hakiendan kabisa na definition ya ugaidiHujui watu na viongozi wa nchi mbalimbali waliouawa kwa mgongo wa nguvu za wa Marekani? Mapigano Afrika, ubaguzi wa rangi Afrika ambayo yote yamepelekea mauaji na mateso kwa watu ni ugaidi wao. Yaliyotokea Irak ndio ugaidi wenyewe huo, sasa kiongozi wa dini anahusika aje hapo? Papa John Paulo alimkalisha Bush juu ya Irak na hakumsikia.