Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wachinja watu 89 DRC Congo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Yale yale ya muarabu na dini yake yanaendelea kusababisha mauaji Afrika na duniani. Mwafrika anamchinja Mwafrika mwenzake kisa dini ya muarabu.

============

Vikundi vinavyohusiana na Islamic State, ADF, vimewaua raia 89 katika mashambulizi North Kivu, mashariki mwa Kongo, ikiwemo wanawake na watoto. Katika shambulio moja, walivamia kituo cha afya Byambwe na kuua angalau watu 17, wakiwasha moto vyumba vya wagonjwa.

Monusco imetoa wito kwa mamlaka za Kongo kufanya uchunguzi huru na kuwafikisha wahalifu kwenye vyombo vya sheria. ADF, iliyozaliwa Uganda, inatambulika na Islamic State na mashambulizi yake yanaendelea licha ya operesheni za kijeshi.

Eneo jingine la North Kivu linasimamiwa na wapiganaji wa M23, huku Marekani na Qatar wakijaribu kuweka makubaliano ya amani.


FOR ENGLISH AUDIENCE

Islamic State-linked rebels have killed 89 civilians in multiple attacks in eastern Democratic Republic of Congo's Lubero territory, the UN peacekeeping mission in the Central African country, known as Monusco, said on Friday.

The attacks were carried out by fighters from the Allied Democratic Forces (ADF) in several localities of North Kivu province between November 13 and November 19, and the 89 killed included at least 20 women and an undetermined number of children, Monusco said in a statement.

In one of the attacks, it said, the rebels attacked a health centre operated by the Catholic Church in Byambwe, killing at least 17 people including women who had gone there to receive maternity care and setting alight four wards housing patients.

Other violations committed by the rebels included abductions and the looting of medical supplies, it said.

"Monusco urges the Congolese authorities to promptly initiate independent and credible investigations to identify the perpetrators and accomplices of these massacres and bring them to justice," the statement said.

Local officials told Reuters last month that suspected ADF rebels had killed 19 civilians in an overnight attack in the village of Mukondo in North Kivu province.

In September, the ADF claimed responsibility for one of its deadliest attacks in recent months that claimed the lives of more than 60 civilians at a funeral in eastern Congo.

The ADF started as a rebel force in Uganda but has been based in the forests of neighbouring Congo since the late 1990s, and is recognised by Islamic State as an affiliate.

Congo's army and Ugandan forces have pursued operations against the ADF, but the group's attacks continue.

Other parts of North Kivu province are under the control of Rwanda-backed M23 rebels who staged a lightning advance this year.

Mediators including the United States and Qatar are trying to broker peace in that conflict, which Washington hopes will facilitate Western investments in the mining sector.

Source: The East African
 
Islam religion is going to be than religion but killing movement in earth.

Yaani hata wakisema hicho ni kikundi cha magaidi but their infiniti source is their faith.

Dini ya sasa kutumia nguvu kulazimisha kuwa nawe ni ushetani mkubwa sana, badala ya kumuachia Allah aje aukumu wewe unatumia nguvu kuniweka peponi nikiwa na dhambi lukuki aah😢!!.
 
Hata Mudi alieneza hiyo dini kwa upanga, hakuna jipya.

Kinachonishangaza ni wakristo kushindwa kujitetea kwenye mauwaji kama hayo, waliuwawa wakiwa usingizini au walipewa vyakula vyenye sumu?

Kama mtu unaona anaanza kutekeleza uovu kwa jina la dini, wewe usiye muislamu kwanini ukubali kuuliwa kama kuku, kwanini msipigane?

Hakuna aliye immortal wote tuna kufa, kwanini mfe wa kristo peke yenu, nini tatizo ujinga au ukondoo umezidi mura?

Mnasema auwaye kwa upanga naye hufa kwa upanga, mapanga ya wakristo yako wapi?
 
Bado zamu ya wakenya kuchinjwa na alshabab
 
Haya mazombi inabidi na wakristo waanzishe jeshi lao maana serikali imeshindwa kuwalinda
 
Kuna 'ubwabwa' mmoja mwenye jina la asili ya huko DRC,naye ametangaza kukata watanganyika vichwa.
 
Ha
Hapa kwetu naiona hiyo ikija kwa kasi mno. Mfano hawa masheikh feki walioanza kumpambania mwenzao asitoke madarakani ikitokea tu ametoka nawaona hao wakianza siasa zao za kigaidi. Ninachofarijika kidogo ni muamuko wa GenZ wetu kupinga kugawanywa kwa misingi ya dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…