Magaidi ya FATAH na HAMAS yote yenye mlengo wa kidini, yaanza kulumbana

Hivi, huyu mungu wetu hawezi kusaidia watu wa dini yetu kuwapiga Israeli mkuu?

Mbona tunadundwa sana na wasio na mungu? Au anatucheki tu huko kwake peponi aone tunavyopukutishwa na mazayuni?
Bibi yako yuko wapi? Bibi wa bibi yako jee? Allah ndie aliemuondosha ktk uso wa dunia hii. Na wewe ukitaka usitake utaondoka ktk dunia
 
Fata wanalipwa na israle kila kitu ..unategemea cha MAANA KUTOKA KWa pappet

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kafiri bado upo? Waislam umeenea mpaka Australia hivi wamefunga
Sasa mkuu hao wahamiaji wa kiarabu mbona wapo Australia na new Zealand kitambo.....au wewe umejua leo🤣🤣🤣🤣🤣.
Au hujui hata Saudia na Iran wapo wakrsto kibao tu.
Daaaaah kweli maralia imekupanda kichwani......!!!
NB:UNADHANI HAO UKIWAITA KAFIR WANAFADHAIKA???
HAO SIO WAFUASI WA DINI YA KIARABU MPAKA KIAMA.
 
Umeshafika.......mzee wa mara tano kwa siku 🤣🤣🤣🤣
 
Hivi, huyu mungu wetu hawezi kusaidia watu wa dini yetu kuwapiga Israeli mkuu?

Mbona tunadundwa sana na wasio na mungu? Au anatucheki tu huko kwake peponi aone tunavyopukutishwa na mazayuni?
😂😂🤣🤣🤣 mzee una gubu......unamchokoza maralia2
 
Makafiri mtapata tabu sana na uislam. Unaenea kwa kasi duniani.
Wewe ndio naona unapata tabu kwa dini zingine hasa ukrsto kuenea duniani........Nyinyi si ndio mnavunja makanisa kule Pakstan na Malaysia na Indonesia na Sudani kaskazini.
Mnatishia watu kuuawa wakihamia dini zingine???
 
Fatah na HAMAS sio magaidi niwapigania uhuru wa wapalestina wanaotawaliwa na waisrael kwa muda miaka kadhaa.
Na vita hii ndo ufumbuzi wa ukoloni wa israel kwa wapelestina ! Safari hii palestina itakuwa nchi na Jerusalem kuwa mjiwao mkuu ni suala la muda tu ! Hamas ndo wamefanikisha hili bila Hamas nchi ya palestina insingepatikana kirahisi
 



View: https://www.youtube.com/watch?v=L0CV48Cy7tc
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=nAYdjTEnkFo
 
Maarabu acha yamalizane kabisa. Yapo duniani kuharibu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…