Magaidi yatakapoitumia vibaya kesi ya Mbowe. Je, Serikali imejiandaa?

Magaidi yatakapoitumia vibaya kesi ya Mbowe. Je, Serikali imejiandaa?

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Kudhalilishwa kwa makomando kama kunavojiri mahakamani kwenye hii kesi katika ushahidi wake !kunanipa maswali mengi kichwani kama haya:-

1. Komando ni nani hasa?

2. Makomando wangapi wapo mtaani na hawana ajira?

3. Ikitokea magaidi wakatumia mwanya wa kuwafuta machozi hawa makomando na kuwapa fursa ya kulipa kisasi kwa serikali kwa kuwatelekeza na kuwadhalilisha Serikali imejiandaaje?

4. Kwani kusomea ukomando kumekuwa laana hapa nchini hadi watelekezwe na kudhalilishwa vile kwa maelezo ya ushahidi wa mahakamani?

5. Gharama za kusomea kozi ya ukomando alitoa nani? Wao wenyewe au serikali? Kama ni serikali kwanini imesaliti rasilimali za nchi?

TUENDELEE KUJIULIZA MASWALI HAYA. KAMA UNA MAJIBU TAFADHALI TUSAIDIANE HAPA JUKWAANI
 
Uliwahi KUAMBIWA kuwa" tuombeane,tusibaguane tuinjege nchi yetu
 
Back
Top Bottom