Maganda ya nanasi ni tiba kwelikweli

Maganda ya nanasi ni tiba kwelikweli

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k) fuaustina pamoja nami

MAGANDA YA MANANASI YANATIBU

🌿Homa ya matumbo
🌿Glaukoma
🌿Arthritis, maumivu ya viungo (Joint pain)
🌿High Cholesterol
🌿kikohozi, Mapafu
🌿Kinga duni/ Kushuka (Poor Immunity)
🌿Ugumba wa mwanamke

Chemsha maganda ya mananasi kwa maji kwa dakika 15. Kunywa kikombe cha chai mara mbili kwa siku.

1740233851062.jpg
 
View attachment 3245452
Sawa
 
Asante sana 😘😘😘I like this 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Maganda? Si bora ule nanasi lenyewe lililomenywa au juisi yake, au hiyo dawa ipo kwenye maganda tu?
 
Kuna mmoja alisema juisi ya bangi inaongeza nguvu za kiume je ni kweli?
 
Natayarisha na Mimi mada itakuwa hewani si muda mrefu…

“Supu ya Vifuu vya Nazi ni Tiba ya Magonjwa Sugu”
 
Pia ganda za nanasi unaweza tengeneza wine chemsha tia hamira vundika wiki zima kisha kunywa tuje tukuokotee mtaroni ukiwa umejikojolea mixer kujinyea
 
Back
Top Bottom