Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
SawaWale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k) fuaustina pamoja nami
MAGANDA YA MANANASI YANATIBU
🌿Homa ya matumbo
🌿Glaukoma
🌿Arthritis, maumivu ya viungo (Joint pain)
🌿High Cholesterol
🌿kikohozi, Mapafu
🌿Kinga duni/ Kushuka (Poor Immunity)
🌿Ugumba wa mwanamke
Chemsha maganda ya mananasi kwa maji kwa dakika 15. Kunywa kikombe cha chai mara mbili kwa siku.
View attachment 3245452
Asante sana 😘😘😘I like this 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Wale wanaopata maumivu kwenye joints (Wenye gout, rheumatoid, arthritis n.k) fuaustina pamoja nami
MAGANDA YA MANANASI YANATIBU
🌿Homa ya matumbo
🌿Glaukoma
🌿Arthritis, maumivu ya viungo (Joint pain)
🌿High Cholesterol
🌿kikohozi, Mapafu
🌿Kinga duni/ Kushuka (Poor Immunity)
🌿Ugumba wa mwanamke
Chemsha maganda ya mananasi kwa maji kwa dakika 15. Kunywa kikombe cha chai mara mbili kwa siku.
View attachment 3245452
Afadhali tumbaku, mi nafikiri tutafika Hadi kwenye kunywa mnung'a mai.Haya magonjwa nyemelezi tutakunywa hadi Tumbaku!
Kabisa Mkuu!Afadhali tumbaku, mi nafikiri tutafika Hadi kwenye kunywa mnung'a mai.
Hiyo kuyasaga kama juice haipo kwenye maelezo ya Dr. Uoni kama unapotosha mkuu?Kumbe!nilishawahi chemasha halafu nikayasaga kama juice nikanywa nzuri kweli.
tumbaku tu? Watu wanakula hadi mijusi ili wapone maradhi yao!Haya magonjwa nyemelezi tutakunywa hadi Tumbaku!
Wala sijapotosha mimi nmetoa tu uzoefu wangu kwamba nilishawahi saga kama juice kumbe ni dawaHiyo kuyasaga kama juice haipo kwenye maelezo ya Dr. Uoni kama unapotosha mkuu?
Labda kwa sikio lisilosikia dawa.Kuna mmoja alisema juisi ya bangi inaongeza nguvu za kiume je ni kweli?
Haha haha mtajipaka hadi upupu kwa kuzitafuta nguvu za kiumeniKuna mmoja alisema juisi ya bangi inaongeza nguvu za kiume je ni kweli?
Utatuharibia vijana wanaotaka kulewa kwa Bei rahisiPia ganda za nanasi unaweza tengeneza wine chemsha tia hamira vundika wiki zima kisha kunywa tuje tukuokotee mtaroni ukiwa umejikojolea mixer kujinyea