Pre GE2025 Maganya: Mtu hawezi kwenda kumshika mama mkwe sehemu za siri, na sisi hatutakubali mtu ambeze Rais Samia

Pre GE2025 Maganya: Mtu hawezi kwenda kumshika mama mkwe sehemu za siri, na sisi hatutakubali mtu ambeze Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Hii topic inanihusu. Ila sichangii kwanza. Maana mh!!

Edit: Kama mie ndo mama mkwe. Halafu kaja mkwe wangu kanishika nyeti.

Na mie nashika zake.

ACHENI KUTUMIA MIFANO MIBOVU

Mwenyewe yuko kimya anaheshimu democracy nyie mpo busy kumjaza jazba bila sababu kwa mifano yenu michafu
 
Mpaka mwenyewe amejishtukia kutamka hilo neno sehemu za siri. Umeona hapo ametafuna ulimi kiaina alipotaja hilo neno
 
Dah kweli CCM wamechoka bibi yetu, kwa kutoa kauli kama hii ambayo mfano wake siwezi kuurudia
1727803682600.png

Kada wa CCM ndugu Maganya
 
Kwani nani kasema anataka kumshika? Afu amshike ili iweje? fafanua.
 
SSH Si mama mkwe wetu,

Ni mtumishi wa Serikali, ameajiriwa na sisi wananchi na tunamlipa mshahara.

Tutamsema na kumkosoa kadri ya uwezo wetu sawasawa na Katiba na Sheria za nchi.
Ukiona mtu anamtetea huyu maza ujue ni mwizi wa mali za umma
 
Mmmmh..!
Wakuu,

Hivi sisiemu mnatuaga wapi watu wajinga hivi? Unakuwa chawa basi angalau usiww chawa mzigo, wapiiiii, aibu tunaona sisi!

Msikilizeni Fadhili Maganya (Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Tanzania) akimwaga madini yake:

View attachment 3112441

Mmmmh...ila jamani, Mzee Nchimbi (Dr.Emmanuel)ebu kaeni chini na watu kama Hawa, hii ndiyo mifano Gani Sasa? Kwahiyo,ukiachana na Mama Mkwe,sehemu za Siri za watu zinashikwa TU kiholela kama vile unachuma nyanys shambani mwako? Hii aibu kabisa!​
Mama wawatu Yuko bize kabisa na Majukumu yake,lakini chawa mnamjaza upepooo..Kwa sababu za kijinga kabisa! Lengo lenu? Kumuua Kwa pressure au? Kuweni serious bwana,Rais huyu ni wa wawote,akiharikiwa yeye,nchi imeharinikiwa,nyie vipi?
 
Maneno machafu sana!!!! 🤮🤮🤮
Hivi hawa viongozi wamejiachia sanaaa, aundio Mama anawakubalia wanao ongea wayaongee?

Hapo liwalo na liwe.. Mmmmmh🫣
 
Mama ameshikwa nyeti?!! Anyway hapo ccm wenye u timamu wa akili ni wakutafuta kwa tochi
 
Hii topic inanihusu. Ila sichangii kwanza. Maana mh!!

Edit: Kama mie ndo mama mkwe. Halafu kaja mkwe wangu kanishika nyeti.

Na mie nashika zake.

ACHENI KUTUMIA MIFANO MIBOVU

Mwenyewe yuko kimya anaheshimu democracy nyie mpo busy kumjaza jazba bila sababu kwa mifano yenu michafu
Wapumbavu, mpumbavu ni mtu ambaye haelewi anachotakiwa kukifanya hata ukimwelekeza, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi ama uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), a.k.a kujizima data, huyo inatakiwa awajibishwe mpinzani akisema atabebwa mzobe mzobe hata mimi sijapenda
 
Back
Top Bottom